MASWALI YAKO YAJIBIWAKUHUSU KANISA LAKIKRISTADELFIANO Wakristadelfiani ni akina nani? Je. ni Wapya? Wakristadelfiani ni Kundi ndogo la Wakristo ambao wamechukua imani na mfanowa Kanisa la kwanza ali yeliwacha Kristo. Kundi hili la Wakristadelfianolimekuwepo zaida ya miaka mia moja. Maana ya jina Kristadelfiano ni 'Ndugukatika Kristo'. (Waebrania 2: 11; Marko 3: 34- 35; Mathayo 25: 40) Wakristadelfiano wapatikanakje? Tuko pahala popote ulimwenguni. Kama vile Wakristo wa kwanza walivyokuwa,tunakutanika katika n yumba zetu, na wakati mwingine katika machumbayakukodisha, au zebuleni zetu za mikutano. (Matendo 1: 13, 2: 46, 18: 7, 19: 9, 28: 30) Wakristadelfiano wanajiunuga je? Sisi huwa kama ya jamii mtu mmoja na kila mtu kwa kila kundi anaitwa Ndugu auDada na wote wana mamlaka mo ja kuhusu maendeleo ya mikutano. Imani mojayenye nguvu inatuunganisha pamoja katika Undugu. (Mathayo 23: 8- 12: Warumi 12: 4- 6, 16: 1; l Wakorintho 12: 4- 27; Wagalatia 3: 28) Wakristadelfiano Huamini nini na Kufunza Tunaamini ya kuwa Biblia ndio habari pekee ambayo Mungu amedhihirisha kwawanadamu, ili kumleta kila mtu kuitii kwa imani. Biblia ndio uwezo na tunafunzaisomwe kwa kusali na kwa uangalifu katika nafasi ipatikanapo. (Warumi 16: 26; Yohana 17: 17; Matendo 17: 11) Mafunzo ya muhimu ni kama yafuatayo Mwenyezi Mungu Kuna Mungu mmoja wa pekee asiyeweza kuona uharibifu na Yesu Kristo nimwana wake wa pekee, na Roho mtakatifu ni nguvu zake. (Isaya 45: 5; 1 Timotheo 1: 17; Waefeso 4: 6; Luka 1: 35; Matendo 1: 8; Luka 24: 49) Mwanadamu Mwanadamu anakufa na ni mwenye dhambi mbele ya mwenyezi Mungu. Utuwake wote ni wa dhambi, na dhawabu yake ni mauti, kufa kabisa mwisho wamaisha yake. (Ayub 4: 17; Warumi 3: 23, 6: 23; Yeremia 19: 9; Marko 4: 17; Mhubiri 9: 1- 6; Zaburi 146: 3- 4) Yesu Kwa mapenzi yake Mungu alimtuma Mwanadamu Yesu katika ulimwengukuwaokoa wanadamu kutoka kwa dhambi zao. Waaminio katika yeye wasife baliwapate uzima wa milele. (Mathayo 1: 21; Yohana 3: 16) Tumaini Tumaini ya pekee ya uhai baada ya kifo ni Ufufuo wa Mwili na uzima wa milelekatika ufalme wa Mungu Duniani. (Zaburi 49: 12- 20; 1 Wakorintho 15: 12- 50; Warumi 8: 23- 35; Matendo 24: 15; Yohana 11: 25; Ufunuo5: 10, 20: 4) Dhabihu ya Kristo Yesu hakuwa na dhambi. Alikufa kuonyesha haki ya Mungu na kuokoa walewanaopokea dhabihu hii kwa n jia ya imani. Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, nakumpa kutoharibika na uwezo katika mbin gu na duniani, na kumweka kuwampatanishi mbinguni kati ya Mungu na Wanadamu. (Matendo 2: 23- 36; Waefeso 1: 19- 23; 1 Timotheo 2: 5; Waebrania 4: 14- 16; Warumi 3: 21- 26) Kurudi kwa Yesu Yesu yuaja tena duniani. Wakati huo atawafufua wengi wa waliokufa kuwahukumupamo ja na walio hai. na kuwapa wafuasi wake halisi wenye imani uhai na uzimawa milele katika ufalme wa Mungu. (Ufunuo 22: 12; Luka 21: 20- 32; Yohana 5: 28- 29; Danieli 12: 2; 2 Timotheo 4: 1; Mathayo 25: 34) Ufalme wa Mungu Ufalme wa Mungu utasimamishwa hapa duniani Yesu Kristo atakuwa mfalme. Mjiwake mkuu utakuwa YERUSALEMU na milki yake itakuwa ulimwengu wote, naserikali yake italeta haki na amani bila kikomo. (Danieli 2: 44, 7: 27; Matendo 3: 21; Yeremia 3: 17; Zaburi 72: 1; Danieli 7: 14; Isaya 9: 6- 7, 11: 9, 61: 1- 11) Ahadi Injili haiwezi kutenganishwa na ahadi za Mungu alizomuahidi Ibrahimu na Daudikatika nyakati za agano la kale. Ahadi hizi zilitimilika katika Yesu Kristo. (Wagalatia 3: 6- 9, 25; Luka 1: 31- 33; 2 Peter 1: 4; Mwanzo 13: 14, 17: 1, 22: 15- 18; 2 Samueli 7: 12- 16) Njia ya Wokovu Njia ya Kuingia Katika ufalme wa Mungu ni Kwa imani. Imani hiiinahusikana kwa kuamini katika neno lake- 'Biblia' - na kuitii vileinavyosema yakuwa wanaume na wanawake watubu dhambi zaona kubatizwa na kumfuata Yesu kwa uaminifu. (Waebrania 11: 16; 1 Wathesalonike 2: 13; 2 Timotheo 3: 15; Matendo 2: 37; Marko 16: 16; Yohana 13: 3- 5; Mathayo 16: 24- 27) WaKristadelfiano Wanakaa Maisha ya aina gani ? Njia ya Mungu ya wokovu inatupa uwelekezo Maalumu katikaMaisha yetu. Tunajaribu kujiweka kwa Mungu na msimamo ambaouna n guvu, katika maombi na kazi njema pamoja na hayo tunajuayakuwa wokovu ni kwa neema. (Wakolosai 1: 3- 11; 1 Petro 2: 1- 5; 2 Petro 1: 5- 11; Yakobo 2: 17, 5: 16; Waefeso 2: 5- 10) Katika uwezo wa Mungu tunajaribu kumpendeza siku zote,tuna jaribu kuwa kama Kristo ambaye alimtii Babaye na bilakujipenda akajjpeana kwa wanadamu. (Wafilipi 2: 13; 4: 13; Waefeso 3: 20; 2: 1- 5; Warumi 12: 1- 2; Waefeso 5: 1- 2) Tunajipeana kwa nguvu Katika kazi na uwaaminifu katika ndoa nakupeana kwa ukarimu na katika kuhubiri, na kuwa wachan gamufukatika maisha na furaha katika Mungu wetu. (Waefeso 5: 5; 2 Timotheo 4: 1- 5; Yohana 16: 33; Mathayo 5: 1- 16; Wafilipi 4: 4- 7) Wakristadelfiani wanaweza kupatikana kwa sanduku la postalifatao.