NYONGEZA MUHTASARI WA MATUKIO YA MAANA 605 k.K. Wafungwa wa kwanza wa Wayahudi kupelekwa Babeli 597 Wafungwa zaidi wa Wayahudi kupelekwa Babeli 587 Kubomolewa kwa Yerusalemu; wafungwa wa mwisho kupelekwa Babeli 558 Koreshi kuwa mfalme wa Uajemi 550 Uajemi kushinda Umedi 539 Waajemi kushinda Babeli 538 Wayahudi wa kwanza kurudi Yerusalemu Kazi ya kujenga hekalu inaanza (chini ya uongozi wa Zerubabeli) 516 Hekalu linamalizika 458 Wayahudi zaidi kurudi Yerusalemu (chini ya uongozi wa Ezra) 445 Nehemia aenda Yerusalemu kuwa liwali 333 Iskanda Mkuu apindua Uajemi 323 Ufalme wa Iskanda kugawanyika kuwa sehemu mbalimbali 301 -198 Palestina kutawaliwa na sehemu ya Misri 198-143 Palestina kutawaliwa na sehemu ya Shamu 171 Antioko Epifania kuwa mfalme wa sehemu ya Shamu 168 Antioko Epifania kunajisi hekalu la Wayahudi 165 Wayahudi chini ya Wamakabayo kujipatia hekalu tena 143 Palestina kupata uhuru wake tena 63 Warumi wanaanza kutawala Palestina 6 Kuzaliwa kwa Yesu Kristo 31 b.K. Kufa na kufufuka kwake Yesu Kristo 70 Kubomolewa kwa Yerusalemu na Warumi 391