Orodha ya vizazi kutoka Ibrahimu mpaka taifa la Israeli Utaratibu wa miaka tangu Ibrahimu mpaka Waisraeli kutoka Misri (tarehe zake zimehisiwa tu) 1925 k.K Ibrahimu na Sara wanaingia Kanaani Umri wa Ibrahimu 76 Mwa 16:3,16 1915 Ishmaeli anazaliwa Umri wa Ibrahimu 86 Mwa 16:16 1901 Isaka anazaliwa Umri wa Ibrahimu 100 Mwa 21:5 1841 Yakobo anazaliwa Umri wa Isaka 60 Mwa 25:26 1826 Ibrahimu anakufa katika umri wa 175 Mwa 25:7 1751 Yusufu anazaliwa Umri wa Yakobo 90 Mwa 41:46; 45:6; 47:9 1721 Yusufu aingia ktk. Utumishi wa Farao Umri wake 30 Mwa 41:46 1721 Isaka anakufa katika umri wa 180 Mwa 35:28 1711 Ukoo wa Yakobo unahamia Misri Umri wa Yusufu 40 Mwa 41:46; 45:6; 47:9 Umri wa Yakobo 130 1694 Yakobo anakufa katika umri wa 147 Mwa 47:28 1641 Yusufu aanakufa katika umri wa 110 Mwa 50:22 1280 Musa anawaongoza Waisraeli kutoka Misri Umri wa Musa 80 Kut 12:41; Mdo7:23;30