Orodha ya vizazi kutoka Ibrahimu mpaka taifa la Israeli

Utaratibu wa miaka tangu Ibrahimu mpaka Waisraeli kutoka Misri
(tarehe zake zimehisiwa tu)
|
1925 k.K |
Ibrahimu na Sara wanaingia Kanaani |
Umri wa Ibrahimu 76 |
Mwa 16:3,16 |
|
1915 |
Ishmaeli anazaliwa |
Umri wa Ibrahimu 86 |
Mwa 16:16 |
|
1901 |
Isaka anazaliwa |
Umri wa Ibrahimu 100 |
Mwa 21:5 |
|
1841 |
Yakobo anazaliwa |
Umri wa Isaka 60 |
Mwa 25:26 |
|
1826 |
Ibrahimu anakufa katika umri wa 175 |
|
Mwa 25:7 |
|
1751 |
Yusufu anazaliwa |
Umri wa Yakobo 90 |
Mwa 41:46; 45:6; 47:9 |
|
1721 |
Yusufu aingia ktk. Utumishi wa Farao |
Umri wake 30 |
Mwa 41:46 |
|
1721 |
Isaka anakufa katika umri wa 180 |
|
Mwa 35:28 |
|
1711 |
Ukoo wa Yakobo unahamia Misri |
Umri wa Yusufu 40 |
Mwa 41:46; 45:6; 47:9 |
|
|
|
Umri wa Yakobo 130 |
|
|
1694 |
Yakobo anakufa katika umri wa 147 |
|
Mwa 47:28 |
|
1641 |
Yusufu aanakufa katika umri wa 110 |
|
Mwa 50:22 |
|
1280 |
Musa anawaongoza Waisraeli kutoka Misri |
Umri wa Musa 80 |
Kut 12:41; Mdo7:23;30 |